KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA PILI YA UDAHILI 2020/2021
Awamu ya pili ya udahili wa shahada ya kwanza (Bachelor Degree) kwa mwaka wa masomo 2020/2021 itaanza rasmi Jumatatu tarehe 12 hadi 18 Oktoba, 2020. CUCoM inawakaribisha waombaji wote ambao hawakuweza kutuma maombi ya udahili au hawakudahiliwa katika awamu ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali kutumia nafasi hii kutuma maombi yao ya udahili kupitia mfumo wetu wa udahili CUCoM OAS (https://oas.cucom.ac.tz).
Ofisi ya Udahili
CUCoM