CATHOLIC UNIVERSITY COLLEGE OF MBEYA
(CUCoM)
A Constituent College of St. Augustine University of Tanzania

"Education with virtues"

KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA TATU YA UDAHILI 2020/2021

Friday, October 30, 2020

KUFUNGULIWA KWA AWAMU YA TATU YA UDAHILI 2020/2021

Awamu ya Tatu ya udahili wa shahada ya kwanza (Bachelor Degree) kwa mwaka wa masomo 2020/2021 itaanza rasmi Ijumaa tarehe 30 Oktoba hadi Jumatano 04 Novemba, 2020. CUCoM inawakaribisha waombaji wote ambao hawakuweza kutuma maombi ya udahili au hawakudahiliwa katika awamu ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali kutumia nafasi hii kutuma maombi yao ya udahili kupitia mfumo wetu wa udahili CUCoM OAS (https://oas.cucom.ac.tz). 

Ofisi ya Udahili

CUCoM